MATUNDA YA KUWA PAMOJA NA WATU WEMA

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net

​ثـمـرة مـصـاحـبـة الـصـالـحـيـن

MATUNDA YA KUWA PAMOJA (KULAZIMIANA) NA WEMA.

قال الشيخ العلامة صالح الفوزان- حفظه الله-:

AMESEMA MWANACHUONI MKUBWA SWAALIH – AL FAWZAN- ALLAH AMHIFADHI-:

صحبة الصالحين ينتفع بها حتى البهائم كما حصل للكلب الذي كان مع أصحاب الكهف فقد شملته بركتهم,فأصابه ما أصابهم من النوم على تلك الحالة العجيبة وصار له ذكر وخبر وشأن.

“KUWA PAMOJA (KULAZIMIANA) NA WEMA HUFAIDIKA NA JAMBO HILO HATA WANYAMA, KAMA ILIVYOTOKEA KWA MBWA AMBAYE ALIYEKUWA PAMOJA NA WATU WA PANGONI BILA SHAKA ALIKUSANYWA NA BARAKA ZAO NA ALIPATWA NA KILE KILICHOWAPATA (WATU WA PANGONI) AMBAO NI USINGIZI KATIKA HALI ILE YA AJABU NA AKAWA NI MWENYE KUTAJWA (KUKUMBUKWA) NA (MWENYE) KUELEZWA NA (MWENYE) DARAJA”

📚REJEA:⇊

​مختارات من الخطب المنبرية ص (١١٤)​

[ Mukhtaaratu mina l-khutwabi l-min’bariyyah (114)​ ]

Maelezo:

Kuwa pamoja na kuchanganyika na watu wema kuna faida nyingi mno ,faida hii aliyoitaja sheikh- Allah amuhifadhi- ameitaja Al-qurtubiy- Allah amrahemu- .

قال القرطبي-رحمه الله- في تفسيره لهذه الآية :

Amesema Al-qurtubiy -Allah amrahamu- katika kutafsiri kwake aya :

(وَكَلْبُهُمْ بَاسِطٌ ذِرَاعَيْهِ بِالْوَصِيد)

{Na mbwa wao amenyoosha miguu yake ya mbele kizingitini }

( الكهف:١٨)

(إذا كانَ بعض الكلاب قد نال هذه الدرجة العليا بصحبته ومخالطته الصلحاء والأولياء فما ظنّك بالمؤمنين المخالطين للأولياء والصالحين).

(Ikiwa baadhi ya mbwa wamepata daraja hili la juu kwa kuwa pamoja kwake na kuchanganyika na watu wema ,basi ni ipi dhana yako kwa waumini wanaochanganyika na vipenzi vya Allah ,na watu wema .

Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Iliandaliwa: September 16,2017 na ikahakikiwa na kurushwa tena ,Shawwal, 8, 1442H ≈ May, 20, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *