Mazingatio katika Qu’rani

قال الله تعالى-:

Amesema Allah – aliyetukuka-:

وإذا النُّفوسُ زُوِّجت

{ Na pindi nafsi zitakapokusanywa }

أي: حشرت مع نظائرها

Maana yake: Zitakusanywa pamoja na zinazolingana nazo (katika matendo).

قال عمر بن الخطاب – رضي الله عنه – الصالح مع الصالح في الجنة، والفاجر مع الفاجر في النار

Amesema Umar bin – Allah amridhie – Mwema pamoja na mwema (mwenzake) peponi na muovu pamoja na muovu (mwenzake) motoni.

المستدرك (٢/٥١٦

Maelezo: Mshirikina atakuwa pamoja na mshirikina mwenzake, kafiri atakuwa pamoja na kafiri mwenzake, mlevi atakuwa na walevi wenzake n.k, pia watu wema watakuwa pamoja katika pepo.

Mfasiri: fawaidusalafiya.net

Imeandaliwa: Tarehe 06 – Safar – 1442H ≈ 23 – September – 2020M.

Kupata faida nyingi tembelea website yetu kwa kubonyeza hapa: https://www.fawaidusalafiya.net

Usikose kuungana nasi Telegram kwa kubonyeza hapa: https://t.me/fawaidussalafiyatz

Muhimu: Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu. •┈┈┈┈••✦✿✦••┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *