Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
MBUZI MMOJA WA UDH’HIYA KWA FAMILIA MOJA!
سئل الشيخ مقبل – رحمه الله:
Aliulizwa Sheikh Muqbil – Allah amrahamu:
وأما إذا كانوا أسرة فهل تجزء عنهم شاة؟
Je, watu wakiwa familia moja anawatosheleza mbuzi mmoja?
الجواب:
Jawabu:
نعم, تجزئ عنهم شاة فقد جاء في < الإلزامات > للدار قطني
أن بعض الصحابة يقول:
” كنا نضحي بالشاة فما زال جيراننا يبخلوننا,”
فنعم تجزئ الشاة عن أهل البيت الواحد وعن الأسرة الواحدة التي نفقتها واحدة.
Ndio, mbuzi mmoja anawatoshelezea, kumekuja katika (kitabu Al-ilzaamaat) cha Addaraqutwniy kwamba baadhi ya maswahaba walisema:
” Tulikuwa tukichinja mbuzi mmoja, basi majirani zetu waliendelea kutuona ni mabakhili” .
(ikiwa hivyo) basi ndiyo (nyumba moja) anawatosheleza mbuzi mmoja, watu wa nyumba moja na familia moja ambayo chakula chao ni kimoja (mmoja atawatosha).
📚 راجع كتاب: ( قمع المعاند ٢ / ٣٦٧)
Ufafanuzi wa mfasiri:
Nyumba moja au familia moja inayoshirikiana katika chakula (matumizi) basi kichinjwa cha mbuzi mmoja kinawatosha hata wakiwa wengi kiasi gani .
•┈┈┈┈••✦✿✦••┈┈┈┈•
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Dhul-hijjah 6, 1442H ≈Jul 16, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•