Mfululizo wa makala kuhusiana na masuala ya biashara; Makala ya nane [8]

https://t.me/fawaidussalafiyatz

MFULULIZO WA MAKALA ZINAZOHUSIANA NA MASUALA YA BIASHARA!

MAKALA NAMBA 08;

SHARTI ZA BIASHARA YA KUTANGULIZA THAMANI NA KUCHUKUA BIDHAA BAADAE.

الخامس: أن يكون المسلم فيه عام الوجود في محله.

5 – (Sharti) ya tano: iwe ile (bidhaa) itakayosalimishwa ni yenye kuenea katika sehemu yake iliyopo.

فتاوى اللجنة الدائمة – المجموعة الأولى . باب السلم (١٤/٩٣)

Maelezo:

Mfano muuzaji akubaliane na huyo mnunuzi juu ya kumpatia tani mia moja za ngano, tarehe kadhaa lakini anatakiwa huyu muuzaji asimuwekee sharti mnunuzi kuwa hii ngano itatoka sehemu fulani katika shamba au kama ana mashamba mengi asimwekee sharti kuwa itatoka katika shamba fulani kwa sababu huwenda hili zao lisimee au kustawi sehemu hii au shamba hili na akashindwa kusalimisha bidhaa.

ITAENDELEA.. Usikose makala namba 09 in shaa Allah.

Muandaaji: fawaidusalafiya.net. Tembelea website yetu: ☟ https://www.fawaidusalafiya.net Telegram bonyeza hapa: ☟ https://t.me/fawaidussalafiyatz 🗓️ Imechapishwa: Sha’aban 10, 1442H ≈ March 23, 2021M.

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu. Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾 https://t.me/fawaidussalafiyatz •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *