Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
๐ ุนู ุงุจู ุนู ุฑ – ุฑุถู ุงููู ุนูู ูุงู:
KUTOKA KWA IBN ‘UMAR – ALLAH AMRIDHIE AMESEMA:
ุฃุฎุฐ ุนู ุฑ ุฌุจุฉ ู ู ุงุณุชุจุฑู ุชุจุงุน ูู ุงูุณูู ูุฃุฎุฐูุง, ูุฃุชู ุฑุณูู ุงููู – ุตูู ุงููู ุนููู ูุณูู - ููุงู: ูุง ุฑุณูู ุงููู, ุงุจุชุน ูุฐู, ุชุฌู ู ุจูุง ููุนูุฏ ู ููููููุฏ, ููุงู ุฑุณูู ุงููู- ุตูู ุงููู ุนููู ูุณูู -:{{ุฅูู ุง ูุฐู ูุจุงุณ ู ู ูุง ุฎูุงู ููโฆ}} ุงูุญุฏูุซ .
โ’Umar-Allah amridhie-alichukua joho la (kitambaa cha) hariri linalouzwa sokoni,basi akalichukua na akamjia mtume-swala na salamu za Allah ziwe juu yake- na akasema: ewe mjumbe wa Allah nunua hili (joho) ujipambe nalo kwa ajili ya eid na wageni,basi Mtume wa Allah- swala na salamu za Allah zimfikie- akasema-:โ
โ{Hakika si vinginevyo hili ni vazi la yule ambaye hana fungu (akhera)โฆ}โ
๐ REJEA:
( ุงูุจุฎุงุฑู ู ู ุณูู )
โ[ Bukhariy na Muslim ]
๐ ูุงู ุงูุณูุฏู- ุฑุญู ู ุงููู-
AMESEMA ASSIN’DIY: (ALLAH AMRAHAMU)
ู ูู ุนูู ุฃู ุงูุชุฌู ู ููู ุงูุนูุฏ ูุงู ุนุงุฏุฉ ู ุชูุฑุฑุฉ ุจูููู , ููู ูููุฑูุง ุงููุจู- ุตูู ุงููู ุนููู 11ูุณูู - ูุนูู ุจูุงุคูุง.
โkutokana na (hadithi) hiyo kunajulikana kwamba kujipamba siku ya eid ilikuwa ni kawaida iliyothibiti baina yao, na mtume – swala salamu za Allah ziwe juu yake-hakumkataza, ikafahamika kubakia kwake kuwa (ni sunnah).โ
๐ REJEA:
ุญูุงุดูุฉ ุงูุณููููุฏูู ุนูู
ุงููุณุงุฆู (181/3)
[ Maelezo (ufafanuzi) wa Assin’diy juu ya sunan Nasaiy 3/181 ]
๐ ููุงู ุงูุญุงูุธ ุงุจู ุญุฌุฑ-ุฑุญู ู ุงููู-
NA AMESEMA AL – HAAFIDH IBNU HAJAR: (ALLAH AMRAHAMU)
:{ุฑูู ุงุจู ุฃุจู ุงูุฏููุง ูุงูุจูููู ุจุฅุณูุงุฏ ุตุญูุญ ุฅูู ุงุจู ุนู ุฑ ุฃูู ูุงู ููุจุณ ุฃุญุณู ุซูุงุจู ูู ุงูุนูุฏูู, ููุฏ ุตุญ ุงูุงุบุชุณุงู ูุจู ุงูุนูุฏ ุนู ุจุนุถ ุงูุณูู ู ู ุงูุตุญุงุจุฉ ูุงูุชุงุจุนูู.
โAmepokea ibnu Abii ddun’yaa na Al-baihaqiy kwa sanadi mzuri mpaka kwa ibn ‘Umar kwamba yeye alikuwa akivaa nguo yake mzuri zaidi katika eid mbili ,na bila shaka kumethibiti kuoga kabla ya eid kutoka kwa baadhi ya wema waliopita miongoni mwa maswahaba na waliowafuata maswahaba.
๐ REJEA:โฃ
ุงูู
ุบูู 256/3 , ูุชุญ
ุงูุจุงุฑู 439/2
โ[ Al-mughniy 3/256 Fathu l-baar2/439 ]
๐ูุนูู ูุง ุฃู ู ู ุณูู ููู ุงูุนูุฏ ุฃู ูุฎุฑุฌ ุงูู ุณูู ุฅูู ู ุตูู ุงูุนูุฏ ุนูู ุฃุญุณู ููุฆุฉ ู ุชุฒููุง ู ุชุทูุจุง ูุงุจุณุง ุฃุญุณู ู ุง ูู ูู ู ู ุงูุซูุงุจ.
โโBasi tumetambua kuwa katika suna za siku ya eid ni kutoka muislamu kuelekea katika sehemu ya kuswalia eid juu ya muonekano mzuri zaidi hali ya kujipamba hali ya kujipaka manukato hali ya kuvaa nguo mzuri zaidi anayoimiliki.โ
Tanbih:
Wanawake hawaruhusiwi kujipamba pindi wanapoenda katika kuswali eid kama wanavyokatazwa kujipamba pindi wanapokuwa na wanaume ambao wanaruhusiwa kuwaoa , bali wanapoenda kuswali eid wavae hijabu zao za kisheria ambazo katika sharti zake zisiwe na mapambo ,na wala wasipake manukato , waoge na kupaka mafuta yao yasiyokuwa manukato .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: โ
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: โ
https://t.me/fawaidussalafiyatz
๐๏ธ Imeandaliwa: Dhul-hijjah 10, 1442H โ Jul 20, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: ๐๐พ
https://t.me/fawaidussalafiyatz
โขโโโโโขโฟโโฟโขโโโโโข