MIONGONI MWA TABIA NJEMA AMBAZO ALLAH AMEMUAMRISHA MTUME WAKE- SWALA NA SALAMU ZA ALLAH ZIMFIKIE .

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net

قـال العلاَّمة ابن سعدي – رحمہ الله تعالـﮯٰ –

Amesema Mwanachoni mkubwa ibn Saa’dy -Allah amrahamu-:

هذا من مكارم الأخلاق التي أمر الله رسوله ﷺ بها فقال :

Hii ni katika tabia mzuri ambazo Allah amemuamrisha Mtume wake (Swala na salamu ziwe juu yake) akasema;

﴿ادفع بالتي هي أحسن﴾

{ Ondoa baya ulilofanyiwa kwa jema}

أي : إذا أساء إليك أعداؤك ، بالقول والفعل ،

Maana yake ni : atakapo kufanyia ubaya adui yako kwa kauli na matendo

فلا تقابلهم بالإساءة، مع أنه يجوز معاقبة المسيء بمثل إسائته

Basi usimlipize kwa ubaya,

Pamoja na kwamba inafaa kumuadhibu mbaya kwa ubaya mfano wake

ولكن ادفع إساءتهم إليك بالإحسان منك إليهم ،

Lakini ondoa ubaya wao kwako kwa kuwafanyia wema

فإن ذلك فضل منك على المسيء ،

Basi bila shaka huo ni ubora utakao kwako juu ya mbaya (wako)

ومن مصالح ذلك ، أنه تخف الإساءة عنك، في الحال، وفي المستقبل،

Na miongoni mwa maslahi ya hilo ni kwamba (jambo) hilo litapunguza ubaya wake kwako kwasasa na baadae

وأنه أدعىٰ لجلب المسيء إلى الحق

Na Kwa hakika hilo Ni lenye kumvuta zaidi mbaya (wako) katika haki

وأقرب إلى ندمه وأسفه ، ورجوعه بالتوبة عما فعل

Na liko karibu zaidi kumfanya ajute na kurejea kwa kutubia kwa yale aliyo yafanya

📚 تيسير الكريم الرحمٰن (٥٥٨/١)

Imepitiwa na Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy.

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Mfungo sita 26, 1443H ≈ November 1, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *