Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net
من أخلاق المؤمن
MIONGONI MWA TABIA ZA MUUMINI
قال ابن القيم – رحمه الله- :
AMESEMA IBNU-L QAYYIM: -ALLAH AMRAHAMU-
”المؤمن يتوجع لعثرة أخيه المؤمن ؛ كأنه هو الذي عثر بها, ولا يشمت به“
“MUUMINI HUUMIA KWASABABU YA KOSA LA NDUGU YAKE MUUMINI, KANAKWAMBA YEYE NDIYE ALIYEKOSEA, NA WALA HAFURAHI KWA KUKOSEA KWAKE(NDUGU YAKE)”
📚 REJEA: ⇊
(مدارج السالكين (٤٣٦/١)
[Madaariju ssaalikiin 1/436]
NYONGEZA NA FAIDA KUTOKA KWA MTARJUMU-ALLAH AMHIFADHI-
Hii ni miongoni mwa tabia nzuri za muislamu wa kweli huwa hapendi kusikia ndugu yake muumini kuwa amekosea na anaposikia kuwa ndugu yake katika imani kuwa ameteleza kwa kufanya kosa fulani au amepatwa na balaa na tatizo huwa katika hali mbaya kama vile yeye ndiye aliyepatwa na tatizo hilo,
Kinyume na sisi katika zama hizi baadhi yetu tunaposikia kuwa muumini mwezetu ameteleza katika jambo fulani baadhi yetu hufurahi na pengine huenda mbio ili kulisambaza lile kosa ili kumwangusha na kumporomosha katika macho ya watu!. tunamuomba Allah salama.
Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ ilitumwa October 4,2017 , na ikarudiwa tena Shawwal 23, 1442H ≈ Jun 3, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•