MISINGI MITATU NA DALILI ZAKE (NO.13)

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net

📖 ثلاثة الأصول وأدلتها 📖

Misingi mitatu na dalili zake .

Makala namba 13.

♦وأنواع العبادة التي أمر الله بها مثل

Na aina za ibada ambazo ameziamrisha Allah
mfano:

◀ الإسلام
◀ والإيمان
◀ والإحسان

Uislam, na Iman,na Ihsaani /wema

Maelezo ya muandaaji:

Shekh -Allah amrehemu- baada ya kubainisha kwamba ni wajibu juu yetu kumuabudu Allah peke yake hana mshirika ,akaanza kubainisha hakika ya ibada na aina zake, akabainisha aina za ibada kwa ujumla na kwa ufafanuzi/ mchanganuo , ama ibada kwa ujumla ipo katika :Uislam, na Imani,na Ihsaani.

Na vitu hivi vitatu Uislam na Imani na Ihsaani ndio dini kama ilivyokuja katika hadithi ya Jibril-Amani iwe juu yake- .

ama ibada kwa ufafanuzi/mchanganuo tutaeleza katika makala inayofuata-Allah akitaka- kama walivyoeleza wanachuoni

Imepitiwa na : Ismail Seiph Mbonde .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Dhul-hijjah 21, 1442H ≈ Jul 31, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *