MISINGI YA SHARI NI MITATU !

‏قال الحسن البصري رحمه الله تعالى :

Amesema Al-hasan Al-basriy- Allah aliyetukuka amrahamu-:

“أصول الشَّرِّ ثلاثة:-

Misingi ya shari ni mitatu:

الحَسَد، والحِرْص، وحُبُّ الدُّنيا.

Husuda, na pupa (ya mabaya) na kuipenda dunia .

وفُروعه ستة:-

na matawi yake ni sita:-

حُبّ النوم ، وحُبّ الشِّبع ، وحُبُّ الراحة ، وحُبُّ الرئاسة ، وحُبُّ الثناء ، وحُبُّ الفَخْر”.

Kupenda kulala,na kupenda kushiba,na kupenda raha,na kupenda uongozi,na kupenda sifa,na kupenda kujifaharisha .

المصدر :العقد الفريد ١٥١/٢

Maelezo ya mfasiri:

Al-hasan-Allah amrahamu- ametaja mambo matatu kwanza ambayo amesema kuwa ndiyo misingi na mashina ya shari ,na akasema kuwa haya mashina matatu yana matawi sita kwa maana hizi aina sita za shari zimezalika kutokana na yale mashina matatu ya shari ,au tunaweza kusema kuwa hizi shari aina tatu alizozitaja ni kama shina la mti mkubwa , na zile shari za aina sita ni kama matawi ya huu mti wenye shina kubwa .

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Shabani 12, 1445H ≈ Feb /22, 2023M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz

         •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *