Mjamzito ndani ya mwezi wa Ramadhani.

Makala namba (3)

3 – الفترة الأخيرة من الحمل (الشَّهر السَّابع والثَّامن والتَّاسع)

☞ 3 – Kipindi cha mwisho cha uja uzito (mwezi wa saba na wa nane na wa tisa)

ننصح بأخذ كمياتٍ قليلةٍ من الغذاء المتوازن،

Tunatoa nasaha ya kula chakula kichache cha wastani,

حيث أنَّ امتلاء المعدة بالطَّعام،

Tumbo kujaa chakula

قد يسبب عسر الهضم،

Huwenda kukasababisha ugumu wa kumen’genywa,

فالصِّيام هو خيرُ وصفةٍ طبِّيَّةٍ،

Basi funga (swaumu) ni wasifu mzuri wa kitiba,

يجعلك نشيطةً خفيفةً،

itakufanya uwe mchangamfu (na) mwepesi,

وبإمكانك أيضًا القيام ببعض الصَّلوات،

Na inakuwezekania pia kutekeleza baadhi ya swala (za sunnah),

كالتَّراويح،

Kama tarawehe,

وقيام الليل،

Na kisimamo cha usiku,

مع الإكثار من تناول التَّمر عند الفطور،

Pamoja na kukithirisha kula tende,

لأنَّه يعطي طاقةً كافيةً لليوم كلّه،

Kwa sababu hiyo (tende) huleta nguvu ya kutosha ya siku nzima,

وللتَّمر فوائدٌ لا تحصى،

Na tende ina faida (ambazo) hazidhibitiki (kwa wingi),

فهو سهل الهضم وفاتح للشَّهيَّة.

Hiyo tende ni nyepesi kumeng’enywa na ni yenye kufungua (kuleta) hamu (ya kula).

🔍 الدكتورة / سميرة العوضي، استشاري أمراض النساء والولادة.

Daktar Samirah Al-‘iwadhiy, Mtoa ushauri wa maradhi ya wanawake na uzazi.

الطبعة الثانية (1429 ھ- 2008)، طبعت بدعم من شركة باب الخير.

Ufafanuzi kutoka kwa mhakiki :

Mjamzito katika miezi hii mitatu ya mwisho apunguze kula na ale vyakula laini vyenye mmeng’enyo wa haraka na vyenye tija,na ajiepushe na vyakula vizito na vyenye gesi nyingi

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Imehakikiwa na: Daktar Abubakar Mubaraka Mhagama.

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Shabani 28, 1443H ≈ Mar 31, 2022M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
    •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *