๐ ูุงู ุงุจู ุงูููู – ุฑุญู ู ุงููู-:
AMESEMA IBNU-L QAYYIM: -ALLAH AMRAHAMU-:
โุงุทูุจ ููุจู ูู ุซูุงุซุฉ ู ูุงุทู:
UTAFUTE MOYO WAKO KATIKA SEHEMU TATU:-
ูก- ุนูุฏ ุณู ุงุน ุงููุฑุขู
1- WAKATI WA KUSIKILIZA QUR’AN
ูข- ููู ู ุฌุงูุณ ุงููุฑุขู
2- NA KATIKA VIKAO VYA QUR’AN
ูฃ- ู ูู ุฃููุงุช ุงูุฎููุฉ
3- NA KATIKA NYAKATI ZA KUJITENGA (KWA IBADA)
ูุฅู ูู ุชุฌุฏู ูู ูุฐู ุงูู ูุงุทู ูุณู ุงููู ุฃู ูู ู ุนููู ุจููุจ , ูุฅูู ูุง ููุจ ูู.
BASI KAMA HAUKUUPATA KATIKA SEHEMU HIZI, MUOMBE ALLAH AKUNEEMESHE MOYO MZURI HAKIKA HALI ILIYVO WEWE HAUNA MOYO (MZURI).!
๐ REJEA:โ
โ( ุงูููุงุฆุฏ ูกูคูฉ/ูก)
Maelezo ya mfasiri:
โJe moyo wako unapenda kusikiliza qur’an, na unaisikiliza quran kwa kuhudhurisha moyo na kuzingatia? je moyo wako unahudhuria vikao vya kumtaja Allah kama vile vikao ambavyo ndani yake hufundishwa elimu ya kisheria tauhiid na nyinginezo, je unatenga muda ukakaa baina yako na Allah tu na hakuna yeyote anayekuona ukamuomba Allah na kufanya ibada mbali mbali?.โ
โTanbih: Maana ya dhikri si madadi wanayoyafanya watu wa Twariqah na hayo madadi hayapo ktk uislamu bali ni uzushi wa kisufi (kitwariqa)โ.
Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: โ
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: โ
https://t.me/fawaidussalafiyatz
๐๏ธ Imeandaliwa: Shabani 20, 1443H โ Mar 23, 2022M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: ๐๐พ
https://t.me/fawaidussalafiyatz
โขโโโโโขโฟโโฟโขโโโโโข