MSHIA ALIY MAYUNGA MTANZANIA AKIMDHIHAKI ABUU BAKR SSWIDDIQ-ALLAH AMRIDHIE-

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net

الرَّافِضِيُّ عليّ مَيُوْنغ التَّنْزَانِيُّ
يَسْتَهْزِأُ بِأُبِيْ بَكْرٍ الصِّدِّيْق- رضي الله عنه-

MSHIA ALIY MAYUNGA MTANZANIA AKIMDHIHAKI ABUU BAKR SSWIDDIQ-ALLAH AMRIDHIE

ANASEMA MSHIA HUYU:

Bila shaka Quran imeweka wazi kuwa:Aliyeteremshiwa “SAKINAH” na aliyesaidiwa na majeshi yasiyoonekana ni mtu mmoja tu, naye ni Mtukufu Mtume Muhammad s.a.w, ingawa Abubakr alikuwamo katika pango,bahati mbaya hakupata manzil ya kuteremshiwa “SAKINAH”.
Jambo lililojitokeza tu kuhusu Abubakr ni lile la KUHUZUNIKA.

Kwa mwenye masikio, macho na akili,atasikia,ataona na kuzingatia na atafahamu ukweli.
Kuwa : Abubakr kuwepo na Mtume s.a .w katika pango, hukumpi manzil yeyote ya ubora isipokuwa ni kile kitendo chake cha kuhuzunika tu.

📚 MAREJEO: ⇊

[ ANGALIA: QUR’AN INAYOBAINISHA, Tarjama na Tafsir Kiarabu na kiswahili Na Ali Jumaa Mayunga Tafsir suuratit tauba aya ya 40 ]

MAELEZO YA MTARJUMU:- ✍🏾

Hii ndiyo itikadi ya MASHIA kwa maswahaba wote na haswa Makhalifa waongofu watatu yaani Abuu Bakr,Umr, na Uthman-Allah awaridhie- wote ni waovu tena ni makafiri na kuwalaani maswahaba ni ibada kubwa kwao! na hapa Mayunga amefanya taqiyyah yaan hii kejeri na dharau yake kwa Abuu Bakr na kudai kuwa kuwepo kwake na Mtume -swala na salamu za Allah zimfikie- katika safari yake ya kuhama kutoka Makah kwenda Madina hakujampa nafasi yoyote ! na hapa nawaambia kuwa haya aliyoyazungumza Mayunga hapa ni madogo mno bali katika moyo wake anaitikadi kuwa Abuu Bakr ni kafiri lakini anaogopa kuweka wazi wasije waislamu wakalijua hilo.

Wako wapi wanaodai umoja baina ya watu wa suna na Mashia wenye kuwaabudia Ahlu l-bait ?!

———————————– 📌

Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Iliandaliwa:December,17,2017M ,na ikahakikiwa na kurushwa tena Shawwa ,l 7, 1442H ≈ May 19, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *