Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
MUME ANAPOTAKA KURUDIA KUMUINGILIA MKE MARA YA PILI!โ๐พ
ุงูุณุคุงู:
Swali: ๐
ูู ูุฌูุฒ ูู ุฃู ุฃุฌุงู ุน ุฒูุฌุชู ูุฃูุซุฑ ู ู ู ุฑุฉ ูู ุขู ูุงุญุฏ – ูู ูููุฉ ูุงุญุฏุฉ – ุจุฏูู ุงุณุชุญู ุงู ุซู ุงูููู ูุฐููุ
Je, naruhusiwa kumuingilia mke wangu zaidi ya mara moja katika kipindi kimoja – (yaani) katika usiku mmoja – bila ya kuoga kisha kulala pia?
ุงูุฌูุงุจ:
Jawabu: โ๐พ
ูุฌูุฒ ููุฑุฌู ุฃู ูุฌุงู ุน ุฒูุฌุชู ุฃูุซุฑ ู ู ู ุฑุฉุ
Anaruhusiwa mwanaume kumuingilia mkewe zaidi ya mara moja,
ูููู ููุจุบู ูู ุฃู ูุชูุถุฃ ูุจู ุฃู ูุนุงูุฏ ุงูุฌู ุงุน ูุญุฏูุซ:
Lakini inatakikana kwake kutawadha kabla ya kurudia kuingilia kwa sababu ya hadithi:
ยซ ุฅุฐุง ุฃุชู ุฃุญุฏูู ุฃููู ุซู ุฃุฑุงุฏ ุฃู ูุนูุฏ ูููุชูุถุฃ ยป
โ Atakapomwendea mmoja wenu mkewe kisha akataka kurudia basi achukue udhu โ
ุฒุงุฏ ุงูุญุงูู :
Akazidisha (imamu) Al-haakim:
ยซูุฅูู ุฃูุดุท ููุนูุฏ ยป
โ Basi bila shaka hilo (la kutawadha) linatia uchangamfu zaidi wa kurudia โ
ูุจุงููู ุงูุชููููุ ูุตูู ุงููู ุนูู ูุจููุง ู ุญู ุฏ ูุขูู ูุตุญุจู ูุณูู .
Na (tumejibu) kwa taufiq ya Allah na swala na salamu za Allah zimfikie nabii wetu Muhammad na wafuasi wake.
๐ ุงููุฌูุฉ ุงูุฏุงุฆู ุฉ ููุจุญูุซ ุงูุนูู ูุฉ ูุงูุฅูุชุงุก ุงููุชูู ุฑูู (ูกูฃูงูคูจ)
[ Kamati ya kudumu ya utafiti wa kielimu na kutoa fatwa,fatwa namba: 13748 ]
Maelezo ya Mfasiri – Allah amuhifadhi
Mume unapomwingilia mkeo mara ya kwanza kisha ukahitaji kurudia tena na mke akawa analihimili hilo kwa maana hakuna madhara kwake utaruhusiwa kumuingilia tena, lakini ni suna kabla ya kumuingilia mara ya pili kuoga au kutawadha na Mtume – swala na salamu za Allah – akataja sababu ya kufanya hivyo nayo ni kupata uchangamfu wa kurudia tena,
Bila shaka mtu anapomwaga shahawa viungo hudhoofika na kuchoka na unapotawadha unavitia uchangamfu wa kuliendea jambo hilo kwa mara ya pili.
Tunamshukuru Allah kwa neema ya uislamu na suna.
Mtarjumu: Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy.
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: โ
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: โ
https://t.me/fawaidussalafiyatz
๐๏ธ Toleo la kwanza: June 21, 2020M, toleo la pili: Mfungo saba 8, 1443H โ Mfungo saba 13, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: ๐๐พ
https://t.me/fawaidussalafiyatz
โขโโโโโขโฟโโฟโขโโโโโข
Kazaakumullaahu khayraa
Je,Kama narudia bila ya kutawadha hukmu yako ni Nini?
Kuoga ni bora zaidi lakini ukitawadha yafaa pia
Hakuna uharamu ila bora zaidi utawadhe na kuoga ni bora zaidi