Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net
الْعَالِمُ الشَّافِعِيُّ -رحمه الله- يَقولُ اجْتمعت الأمة عَلَى كُفْرِ الرَّافضة !
MWANACHUONI WA KISHAFI -ALLAH AMRAHAMU-ANASEMA UMEKUBALIANA UMMAH (WA KIISLAMU) JUU YA UKAFIRI WA MASHIA
قال السمعاني الشّافعي – رحمه الله:-
AMESEMA ASSM’ANIY MSHAFI -ALLAH AMRAHAMU- :
واجتمعت الأمة على تكفير الإمامية، لأنهم يعتقدون تضليل الصحابة وينكرون إجماعهم وينسبون إلى ما لا يليق بهم.
“Na wamekubaliana waislamu wote juu ya kuwakufurisha (Mashia) wa Imaamiyyah kwa sababu wao wanaitikadi ya kuwapotosha maswahaba na wanapinga maafikiano yao na wanawanasibishia (maswahaba) yale ambayo hayanasibiani na wao.”
📚REJEA:
الأنساب 341/6
[ Al-ansaab 6/341]
MAELEZO: ✍🏾
Hii ndiyo hukumu ya Mashia Imaamiyyah au Ithnaa Ashariyyah au
Al-jaafariyah haya ni majina ya kikundi kimoja cha kishia ambacho kinaitikadi hizi chafu na hawa si waislamu ni makafiri na haya ni makubaliano ya waislamu wote yaani wanachuoni.
Na huyu Assam’aniy ni mwanachuoni wa zamani mno wa madhehebu ya shafii alizaliwa mwaka 506 baada ya hijrah na akafa mwaka 562 baada ya hijrah , na tuwaulize Mashia na huyu naye ni muwahabi?! na sheke Muhammad bin Abdil Wahhab alizaliwa mwaka 1015 baada ya hijra, hapa unaona wazi kuwa ukafiri wa Mashia unajulikana tokea muda mrefu mno .
Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Iliandaliwa:December 19,2017, ikahakikiwa na kurushwa tena Shawwal 12, 1442H ≈ May 24, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•