Namna ya kuswalia jeneza (maiti) [ No. 03]

https://www.fawaidusalafiya.net

سلسلة أحكام الجنائز.

MLOLONGO (MFULULIZO) WA HUKUMU ZA MAITI (NO. 34)

☞ NAMNA YA KUSWALIA JENEZA (MAITI)

Makala namba 03:

ثم يُكبِّر للثانية ويصلِّي على النَّبيِّ صلى الله عليه وسلم

Kisha ataleta takbira ya pili na atamswalia Mtume – swala na salamu za Allah zimfikie. Na namna ya kumswalia Mtume ni kama ifuatavyo:

” اللّٰهُمَّ صَلِّ عَلَى مُحَمَّدٍ وَعَلَى آلِ مُحَمَّدٍ، كَمَا صَلَّيْتَ عَلَى آلِ إبْرَاهِيْمَ، إنَّكَ حَمِيْدٌ مَجِيْدٌ، اللّٰهُمَّ بَارِكْ عَلَى مُحَمَّدٍ وعَلَى آلِ مُحَمَّدٍ، كَمَا بَارَكْتَ عَلَى إبْرَاهِيْمَ وَعَلَى آلِ إبْرَاهِيْمَ إنَّكَ حَمِيْدٌ مَجِيْدٌ ”

” Ewe Allah mzidishie (nabii wako) Muhammad sifa na utukufu (huko) mbinguni mbele ya Malaika na warehemu jamaa wa Muhammad kama ulivyowarehemu jamaa wa Ibrahim, bila shaka wewe ni mwenye kusifiwa na mwenye kutukuzwa, Ewe Allah mbariki Muhammad na jamaa wa Muhammad kama ulivyombariki Ibrahim na jamaa wa Ibrahim bila shaka wewe ni mwenye kusifiwa na kutukuzwa ”

Itaendelea in shaa Allah, usikose makala namba 04.

Mfasiri: fawaidusalafiya.net

Imeandaliwa: Tarehe 10 – Rabi’ul – aakhir ≈ 25 – November – 2020M. Tembelea website yetu: https://www.fawaidusalafiya.net

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

JIUNGE NASI TELEGRAM UPATE FAIDA NYINGI ZILIZOKUPITA. BONYEZA HAPA KUJIUNGA: ⤵️ https://t.me/fawaidussalafiyatz •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

2 Comments

  1. Andul

    Je yafaa kumswalia maiti makaburini? Badala ya nyumbani au msikitini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *