NASAHA KWA WANANDOA WAWILI KUTOKA KWA MWANACHUONI MKUBWA IBN BAZ-ALLAH AMRAHAMU-

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net

💫 نصيحة للزّوجين مِنَ العلامة ابن باز رحمه الله تعالى :

NASAHA KWA WANANDOA WAWILI KUTOKA KWA MWANACHUONI MKUBWA IBN BAAZ- ALLAH AMRAHAMU-

الواجب على الرجل أن لا يستعجل في الطلاق ؛ وأن يعاشر بالمعروف وأن يحذر ظلم المرأة وبخسها حقوقها ..

La wajibu kwa mwamume asiharakishe (kutoa) talaka,na aishi (na mkewe) kwa wema na atahadhari kumdhulumu na kumpunja haki zake

والواجب على الزوجة التواضع وعدم إغضاب الزوج وعدم إيذائه، وعليها أن تتواضع وأن تستعمل اللطف والرفق والكلام الطيب مع الزوج حتى لا تثير حفيظته فيطلق . 

na ni wajibu kwa mke kunyenyekea na kutomkasirisha mume na kutomuudhi,na ni wajibu (kwa) mke anyenyekee na atumie upole na ulaini na maneno mazuri kwa mumewe (afanye hivyo) ili asije akamuudhi mumewe akampa talaka

 وعلى الجميع الصبر والاحتساب في جميع الأحوال ..

🔹كما قال سبحانه وتعالى :
  
« إِنَّمَا يُوَفَّى الصَّابِرُونَ أَجْرَهُم بِغَيْرِ حِسَابٍ » ( الزمر : ١٠)

Na ni juu ya wote kusubiri na kutaraji (malipo) katika hali zote..

“Hakika watalipwa wenye kusubiri ujira wao (mwingi) bila ya hesabu”

Azzumar aya ya kumi(10)

✅ فلا بد من الصبر على بعض العوج .. ولا بد للمرأة أن تصبر أيضاً على ما قد يقع من الزوج من بعض الخلل أو بعض التقصير وما أشبه ذلك .

basi hakuna budi (kwa mume) kuwa na subira katika baadhi ya (hali ya) kutonyooka (kwa mkewe) na hakuna budi kwa mwanamke asubiri pia katika yale ambayo yaweza kutokea kutoka kwa mume katika baadhi ya makosa au baadhi ya mapungufu na mfano wa hayo.

Chimbuko :

( مجموع الفتاوى/٤٧١٣ )

Maelezo :

Ni nasaha mzito mno za sheikh -Allah amrahamu- kwa wanandoa ,kama wakizifanyia kazi basi maisha yao yatakuwa ni yenye raha na utulivu , kubwa zaidi kila mmoja ayafahamu majukumu yake ,na kila mmoja kuwa subira kwa mapungufu ya mwenzake .

Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️Imeandaliwa : Shawwal 18, 1442H ≈ May 30, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *