NI IPI NEEMA KUBWA ZAIDI ?

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net

ما هي أعظم نعمة

NI IPI NEEMA KUBWA ZAIDI ?

🎙 وقد حظيت البقرة في الديانة الهندوسية بأسمى مكانة ولا تزال كذلك على مر الدهور والعصور وقد كتب “غاندي” مقالا بمجلة تصدر في بومباي بفلسفة عبادة البقرة جاء فيه: ” عندما أرى بقرة لا أعدني أرى حيوانا لأني أعبد البقرة وسأدافع عن عبادتها أمام العالم أجمع. وأمي البقرة تفضل: أمي الحقيقية من عدة وجوه. فالأم الحقيقية ترضعنا مدة عام أو عامين وتطلب منا خدمات طول العمر نظير هذا. ولكن أمنا البقرة تمنحنا اللبن دائما ولا تطلب منا شيئا مقابل ذلك سوى الطعام العادي. وعندما تمرض الأم الحقيقية تكلفنا نفقات باهظة ولكن أمنا البقرة ولكن أمنا البقرة تمرض فلا نخسر لها شيئا ذا بال. وعندما تموت الأم الحقيقية تتكلف جنازتها مبالغة طويلة. وعندما تموت أمنا البقرة تعود علينا بالنفع كما كانت تفعل وهي حية لأننا ننتفع بكل جزء من جسمها حتى العظم والجلد والقرون

“Bila shaka ng’ombe amepata daraja la tukufu zaidi katika dini ya Kihindu (Hinduism) na anaendelea kuwa hivyo tokea zama na zama, na bila shaka aliandika Gandhi makala katika jarida linalotoka katika (mji) wa Bombay falsafa ya kumuabudia ng’ombe (maneno) yalikuja kama ifuatavyo:​

​” Pindi ninapomuona ng’ombe sijihesabii kuwa namuona mnyama kwa sababu mimi namuabudia ng’ombe na nitaendelea kuitetea ibada yake mbele ya ulimwengu wote..​

​na mama yangu ng’ombe anamzidi ubora mama yangu wa kweli (mzazi) kutokana na sababu nyingi.​

​(Mfano) mama mzazi hutunyonyesha kwa muda wa mwaka mmoja au miaka miwili na (baadae) huhitaji kutoka kwetu huduma (mbalimbali) maisha yote inayolingana na kazi hii (aliyoifanya).​

​Lakini mama yetu ng’ombe hutupa maziwa daima na wala haitaji badala yoyote kutoka kwetu kwa hayo (maziwa) isipokuwa chakula cha kawaida.​

​Na pindi mama mzazi anapoumwa hutulazimu (kutoa) gharama nyingi lakini mama ng’ombe anapoumwa hatupati hasara kwa kumtolea chochote cha maana.​

​Na pindi mama mzazi anapofariki mazishi yake hutugharimu pesa nyingi.​

​Na pindi anapofariki mama yetu ng’ombe faida hurudi kwetu kama alivyokuwa akifanya alipokuwa hai kwa sababu sisi hufaidika (anapokufa) na kila kiungo katika mwili wake hata mifupa na ngozi na mapembe “​

MAREJEO:⇣

الأديان والفرق والمذاهب المعاصرة, لعبد القادر شيبة الحمد, ص ٥٩

[ Al-adyaan wal-firaq wal-madhaahib Al-mu’aswir, cha Abdul-Qaadir Shaibatul-hamd, ukurasa wa 59​ ]

NASAHA ZANGU 🎙

Bila shaka baada ya kusoma makala hii umefahamu kuwa hakuna neema kubwa zaidi ambayo Allah amemneemesha mwanadamu zaidi ya neema ya uislamu ,neema ya kumpwekesha Allah . ​Ndugu yangu muislamu mshukuru Allah kwa kukadiriwa kuwa muislamu hakuna neema kubwa zaidi ya neema ya tauhiid hakuna neema kubwa zaidi ya kumuabudia Allah pekee bila ya kumshirikisha na chochote tizama watu walivyopotea mpaka wakafikia kumuabudia ng’ombe!! ,ndugu yangu muislamu mshukuru Allah kwa kusema sifa zote ni za Allah kwa kunijaaliya kuwa muislamu dini ya kumuabudia Allah mmoja asiyekuwa na mshirika, na pia muombe Allah akufishe katika tauhidi.

Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Iliandaliwa: September ,10,2017,ikahakikiwa na kurudiwa kurushwa tena ,Shawwal 6, 1442H ≈ May,18, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *