◾️قال ابنُ القَيِّمُ رحمه الله :
” واعلَم أن الناس إذا أُعجِبوا بِكَ
فَإنَّمَا أُعجِبوا بِجَميلِ سترِ اللهِ عَلَيك ” .
Na tambua kuwa pindi watu wanapopendezwa na wewe , hakika si vingine wamependezwa (na wewe) kwa sababu ya uzuri wa stara ya Allah kwako
📚 مدَارِجُ السَالكِين ( ٢٩٣/٢) .
Maelezo ya mfasiri:
Hakuna kinachotuhifadhi isipokuwa ni stara ya Allah tu na tunamuomba Allah atustiri duniani na akhera.
Na lau watu wangejua maovu tuliyokuwa nayo basi wangetukimbia na kutuchukia !.
Allah amrahamu Al-qahtwaniy -aliyesema-:
والله لو علِموا قبيح سريرتي
= لأبى السلامَ عليّ من يلقاني
Naapa kwa Allah lau (watu) wangejua ubaya wa undani wangu##.
Basi angekataa kunitolea salamu yule atakayekutana na mimi.
Muandishi Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy.
21/Mfungo sita/ 1445 baada ya hijrah