Swala ya Istikhara – sehemu ya kwanza [1]

سلسلة أحكام الصلاة.

MLOLONGO (MFULULIZO) WA HUKUMU ZA SWALA (NO. 66)

SWALA YA ISTIKHARA: SEHEMU YA KWANZA [1]

Swala ya istikhara ni nini?

سئل العلامة ابن عثيمين – رحمه الله-:

Aliulizwa mwanachuoni mkubwa ibn ‘Uthaimin – Allah amrahamu

س١ : ما هي صلاة الاستخارة؟

Swali la 1:

Ni nini swala ya Istikhara?

ج ١:

Jawabu la 1:

صلاة الاستخارة معناها أن الإنسان يصلي لله عز وجل يطلب منه أن ييسر له خير الأمرين، وذلك أن الإنسان إذا هم بشيء وتردد في فعله، ولم يتبين له وجه الصواب فيه، فإنه يلجأ إلى الله سبحانه وتعالى، يطلب منه أن ييسر له خير الأمرين

Swala ya Istikhara maana yake ni kuwa mwanadamu anaswali kwa ajili ya Allah – aliyeshinda na aliyetukuka – anaomba kutoka kwake (Allah) amuwepesishie jambo lenye kheri kati ya mawili, na hilo ni kwa kuwa mwanadamu atakapokusudia (kufanya) kitu na akasita katika kukifanya na hakubainikiwa njia ya sawa katika hilo basi bila shaka hukimbilia kwa Allah – utakasifu ni wake na ametukuka, (ili) aombe kutoka kwa (Allah) amuwepesishie jambo lenye kheri katika (haya) mawili.

المصدر: اسئلة مجمعة من: فتاوى نور على الدرب / أشرطة رقم: ( [ ٢٨٥ ] / [ ١٦١ ] / [ ٣٣٤ ] ) ولقاءات الباب المفتوح رقم: [ ٨٣ ] / [ ١٥٧ ]

Itaendelea in shaa Allah, Usikose sehemu ya pili [2].

Mfasiri: fawaidusalafiya.net

Imeandaliwa: Tarehe 04/ Jumaadal-aakhir 1442H ≈ 17/ Jan, 2021M.

Tembelea website yetu: https://www.fawaidusalafiya.net

#Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

JIUNGE NASI TELEGRAM KUPATA FAIDA NYINGI ZILIZOKUPITA. BONYEZA HAPA KUJIUNGA: ⤵️ https://t.me/fawaidussalafiyatz https://t.me/Darasazandoa •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *