Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
๐ูุงู ุงูุดููุฎ ุนุจูุฏุงูุฑุฒุงู_ุงูุจุฏุฑ -ุญูุธู ุงููู-:
Amesema sheikh Abdul-Rrazzaq Al-badr- Allah amuhifadhi-:
โข (ุงูุญุณู ู ู ุงูุฎูู): ุฃู ูุฃุชู ุงูู ุฑุก ูููุงุณ ุงูุฐู ูุญุจ ุฃู ูุคุชูู ุงูููุ ูุฃู ูุญุจ ูููุงุณ ู ุง ูุญุจ ุฃู ูุคุชูู ุงูููุ ูุฐุง ุฌู ุงุน ุงูุฎูู ุงูุญุณูุ
Tabia njema : Ni mtu kuwafanyia watu yale anayoyapenda wamfanyie, na awapendelee watu yale anayoyapenda wamfanyie, huu ndio msingi wa mkusanyiko wa tabia njema,
ูุฅูููู ูููู ุจุงูููุจ: ู ุญุจููุฉู ููุตุญุง ูุงุฑุงุฏุฉ ููุฎูุฑุ ูุฑุบุจุฉ ูู ููุน ุงููุงุณ ูุงูุตุงู ุงูุฎูุฑ ููู ุ ูุณูุงู ุฉ ุงูููุจุ ูุจุงูุฌูุงุฑุญ: ุงุญุณุงูุง ูู ุงูุชุนุงู ู ู ุนูู ุจุงูู ุนุงู ูุฉ ุงูุชู ูุญุจ ุฃู ูุนุงู ูู ุจูุง.
basi bila shaka hiyo (tabia njema) huwa katika moyo (kwa) mapenzi na nasaha na kutaka kheri na kupenda kuwanufaisha watu na kuwafikishia kheri,na kuwa na moyo uliosalimika, na viungo vikawafanyia watu wema kwa kuwafanyia muamala ambao anapenda (watu) afanyiwe.
โข ูููุฐุง ูุฌุชู ุน ุญุณู ุงูุฎูู ูู ุญุฏูุซููุ ููู ุงููุจููู ุตูู ุงููู ุนููู ูุณูู :
na kwa ajili hii, tabia njema inajikusanya katika hadithi mbili : Kauli ya Mtume -swala na salamu za Allah zimfikie-:
(ูุง ูุคู ู ุฃุญุฏูู ุญุชู ูุญุจ ูุฃุฎูู ู ุง ูุญุจ ูููุณู)ุ
{Hatokuwa muumini wa kweli mmoja wenu mpaka ampendelee ndugu yake yale anayoipendelea nafsi yake}
ูุงูุญุฏูุซ ุงูุขุฎุฑ ุงูุฐู ูุงู ููู ุนููู ุงูุตูุงุฉ ูุงูุณูุงู :
na hadithi nyingine ambayo amesema ndani yake (Mtume)- swala na salamu ziwe juu yake- :
(..ูููุฃุชู ุฅูู ุงููุงุณ ุงูุฐู ูุญุจ ุฃู ููุคุชูู ุงููู) .
{Na awafanyie watu yale anayopenda afanyiwe} .
๐ุงูุชุนููู ุนูู ูุชุญ ุงูุฑุญูู ุงูู ูู ุงูุนูุงู (ูขูฅ).
Maelezo ya mfasiri:
Huu ndiyo mkusanyiko wa msingi wa tabia njema iliyokusanywa na hadithi hizi mbili :
1- Kuwapendelea ndugu zako waislamu yale unayoipendelea nafsi yako katika kheri mbalimbali, ukiwa hauwapendelei ndugu zako waislamu yale unayoipendelea nafsi yako katika kheri basi wewe una upungufu wa imani .
2- Kuwafanyia watu yale ambayo unapenda ufanyiwe ,mfano : Bila shaka wewe haupendi kufanyiwa khiyana basi usimfanyie yeyote khiyana, haupendi kutapeliwa basi usimtapeli yeyote ,haupendi kudhulumiwa basi usimdhulumu yeyote,n.k.
Mtarjumu: Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: โ
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: โ
https://t.me/fawaidussalafiyatz
๐๏ธ Imeandaliwa: Swafar/Mfungo tano 23, 1443H โSeptember 29, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: ๐๐พ
https://t.me/fawaidussalafiyatz
โขโโโโโขโฟโโฟโขโโโโโข