TAHADHARI DHIDI YA MAWAHABI !

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net

TAHADHARI DHIDI YA MAWAHABI !

قال الإمام ابن كثير الشافعي -رحمه الله- في تفسير سورة الفتح آية ٢٩

Amesema imamu ibn Kathir Asshafiy -Allah amrahamu -katika tafsiri ya suratul-al-fat-h aya ya 29 :

ومن هذه الآية انتزع الإمام مالك – رحمه الله ، في رواية عنه – بتكفير الروافض الذين يبغضون الصحابة ،

Na kutokana na aya hii amenyofoa imamu Malik-Allah amrahamu-katika riwaya (moja) kutoka kwake- ,

kuwakufurisha Mashia ambao huwachukia Maswahaba,

قال :
akasema (Maliki) :

لأنهم يغيظونهم ، ومن غاظ الصحابة فهو كافر لهذه الآية .

Kwa sababu hao (Mashia) wanawakasirikia hao (maswahaba), na mwenye kuwakasirikia maswahaba basi huyo ni kafiri kwa hii aya .

ووافقه طائفة من العلماء على ذلك .
Na wameafikiana naye kundi katika wanachuoni juu ya hilo .

والأحاديث في فضائل الصحابة والنهي عن التعرض لهم بمساءة كثيرة ، ويكفيهم ثناء الله عليهم ، ورضاه عنهم .

Na hadithi katika ubora wa maswahaba na katazo la kujiingiza katika kuwafanyia mabaya ni nyingi , na inawatosha hao (Maswahaba) Allah kuwasifia ,na kuwaridhia kwake .

Maelezo ya mfasiri:

Ndugu yangu muislamu neno Wahabi ni neno ambalo hutumika na maadui wa haki pindi wanaposhindwa hoja za kielimu kama vile wanavyolitumia Mashia pindi zinapowekwa wazi itikadi zao ambazo wanazificha na mfano wa itikadi hizo ni kuwachukia maswahaba -Allah awaridhie-, na hapo juu nimekunukulia maneno ya mwanachuoni mkubwa wa tafsiri na tena ni mshafi mwenzetu yeye amenukuu maneno kutoka kwa mmoja katika wanachuoni wa madhehebu manne ya fiqih ya Ahlu sunnah wal-jamah naye ni imamu Maliki -Allah amrahamu.

Basi ndugu yangu usishangae huyu ibn Kathir akaitwa ni Muwahabi !, na hali huyu imamu ibn Kathir amefariki mwaka 774 baada ya hijra na shekhe Muhammad ibn l-Wahhab -Allah amrahamu- amefariki mwaka 1206 baada ya hijra ,ukiangalia hapo utakuta baina yao kuna miaka 432 !.

Lakini ndugu yangu nataka kukwambia hivi tokea sheikh Muhammad ibn Abdul-Wahhab Al-hanbaliy -Allah amrahamu- alipoanza dawa yake ya kuhuisha mafundisho sahihi ya Uislamu na haswa kukemea ushirikina, basi maadui wa uislamu wamelitumia jina hili kwa kumpa kila mwenye kubainisha haki na kuwaita watu katika uislamu sahihi.

Muandishi :

Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

Jiunge group la masomo ya fiqih ya madhehebu ya kishafii hapa👇🏾:

https://t.me/Majmuutulaabifiqhishafii

🗓️ Imeandaliwa: Mfungo tisa 27 , 1444H ≈ Jan 20, 2022M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *