Tahadhari kwa wanaowasema vibaya wanawavyuoni.

القاضي الفقيه الشافعي محمد بن عبدالله الزبيدي، ولد سنة عشر وسبعمائة، وشرح التنبيه في أربعة وعشرين مجلدًا، درس وأفتى، وكثرت طلابه ببلاد اليمن، واشتهر ذكره، وبعد صيته،

Al-qaadhi fiqih Asshafiy Muhammad bin Abdullah Azzabidiy aliyezaliwa mwaka 710 baada ya hijra (ambaye) alisherehesha Tanbih katika mijeled ishirini na nne alifundisha, na alitoa fatwa, na wanafunzi wake walikithiri katika nchi ya Yaman ,na utajo wake ulikuwa mashuhuri na sifa zake zilienda mbali,

ذكر الجمال المصري:

Ametaja Al-jamal Al-misry :

“أنه شاهده عند وفاته وقد اندلع لسانه واسود، فكانوا يرون أن ذلك بسبب كثرة وقيعته في الشيخ محيي الدين النووي – رحمهم الله جمعيًا”؛

Kuwa yeye alimuona wakati wa kufa kwake hali ulimi wake umetoka na umekuwa mweusi basi (watu) walikuwa wakiona kuwa hilo ni kwa sababu ya wingi wa kumtukana kwake sheikh Muhyi ddin Annawawiy- Allah awarehemu wote- .

(الدرر الكامنة: ١٠٦/٤).

Maelezo ya mfasiri:

Chukua mazingatio katika hili na uwaidhike na ukifunge kinywa chako na uuzuie ulimi wake kutokana na uovu huu mkubwa wa kuwasema vibaya wanawachuoni .

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Mfungo tano 20, 1445H ≈ Aug /24, 2024M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz

         •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *