TUJIKUMBUSHE KATIKA KUWAFAHAMU MASHIA.

Makala namba (16)

ولهذا نقول إن الرافضة هم أحفاد المجوس​:-

KWA AJILI HII TUNASEMA HAKIKA MASHIA NI VIJUKUU VYA MAJUSI

عن أبي عبد الله قال:-

KUTOKA KWA ABUU ABDILLAH AMESEMA:-

ما بقي بيننا وبين العرب إلا الذبح، وأومأ بيده إلى حلقه.

HAKUNA KILICHOBAKI KATI YETU NA WAARABU ISIPOKUWA NI KUCHINJA (TU) AKAASHIRIA MKONO WAKE KOONI KWAKE,

📚 REJEA:

كتابة(الغيبة) لمحمد النعماني ص ١٥٥.​

MAELEZO YA MWANDISHI: ✍

​Hawa ndio Mashia ambao wanachuki kubwa na hasadi dhidi ya uislamu na waarabu na chuki hii ilianza tokea pale khalifa wa pili Umar bin l-khattwaab -Allah amridhie- alipoiporomosha na kuivunjavunja serikali ya Kimajusi ambayo ilikuwa sehemu za Fursi yaani Irani ya leo,

Basi kutokana na chuki zao hizi hawa Majusi ambo ni watu wenye kuabudia moto walifanya njama za kumuua Umar -Allah amridhie- na mpaka leo serikali ya Irani inaenda mbio kwa ajili ya kusimamisha serikali ya Kimajusi duniani na hili lipo wazi mfano hivi karibuni walirusha kombora ili kuisambaratisha Al-ka’abah (Allah aizidishe utukufu) lakini Allah anailinda Al-ka’bah.​

Mwandishi : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: November 29,2017 M

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *