TUJIKUMBUSHE KATIKA KUWAFAHAMU MASHIA (11)

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net

هل هؤلاء مسلمون؟

JE, HAWA NI WAISLAMU?

قال تعالى:-

Amesema Allah aliyetukuka:-

{ وَأَشْرَقَتِ ٱلْأَرْضُ بِنُورِ رَبِّهَا}

الزمر: ٦٩

(Na ardhi itapoangaza kwa Nuru ya Mola wake Mlezi ).

Azzumar:69

قال الشِّيْعِيُّ المشهورُ أحمد مقبول:-

Amesema Mshia mashuhuri Ahmad Maqbul:​-

قال جعفر الصادق: إن رب الأرض هو الإمام فحين يخرج الإمام يكفي نوره و لا يفتقر الناس إلى الشمس والقمر .

Amesema Ja’afar Sswaadiq:​ Bila shaka Mola wa ardhi huyo ni Imamu basi pindi atapotoka Imamu nuru yake itatosha na wala watu hawatohitajia nuru ya jua na mwezi.

📚 Rejea:-

قال الشيخ محمد عبد الستار التونسوي: ترجمة مقبول أحمد ص ٣٣٩ أصل العبارة في اللغة الأردوية نقلتها إلى العربية بكل أمانة من كتابه .

انظر : بطلان عقائد الشيعة

[ Amesema sheikh Muhammad Abdu Ssattaar Attuunisawiy: Tarjamah (tafsir) ya Maqbul Ahmad ,asili ya maelezo (haya) yanatokana na lugha ya ki urdiyyah nimeyanukuu na kuyapeleka katika lugha ya kiarabu kwa uaminifu mkubwa.]

Angalia kitabu “Butlaan ‘aqaad sshii’ah,ukurasa 16

MAELEZO YA MWANDISHI:✍🏾

Ndugu muislamu hebu angalia ukafiri na ushirikina waliokuwa nao hawa Mashia ! wanaichukua aya ambayo inazungumzia pindi Allah atapokuja kuhukumu baina ya waja wake siku ya kiama na ardhi itang’aa na kuangaza kwa nuru ya Allah, na nuru hapa ni sifa katika sifa zake Allah lakini Mashia sifa hii wakawapa Maimamu wao!!

TANBIHI:-📝

Maneno haya ambayo Mashia wanayaegemeza kwa Ja’afar Sswaadiq-Allah amrahamu-ni katika uwongo wao mkubwa juu ya mwanachuoni huyu ambaye ni katika kizazi cha nyumbani kwa Mtume- swala na salamu za Allah zimfikie- na huyu ni katika watu waliozushiwa uwongo sana mpaka ibn Taimiyyah -Allah amrahamu – baada ya kutaja kuwa siri wanazozidai na kuzipokea kutoka kwa Jaafar Swadiq ni katika uwongo mkubwa kisha akasema:

حَتَّى يُقَالَ : مَا كُذِبَ عَلَى أَحَدٍ مَا كُذِبَ عَلَى جَعْفَرٍ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُ “

“Mpaka kunasemwa kuwa : Hajapatapo kubandikwa uwongo yeyote kama alivyobandikwa Jaafar- Allah amridhie-

مجموع الفتاوى ” (٧٨/٤).

Mpaka hapa umefahamu kuwa Jafar- Allah amrahamu- itikadi yake ilikuwa ni itikadi sahihi ya wema waliopita itikadi ya Maswahaba ,na umetambua ndugu yangu muislamu kuwa uwongo ni katika misingi ya dini ya Kishia na Mashia wamemuongopea mengi Imam Jaafar Swadiq- Allah amrahamu-!

━════════ ۞
Mwandishi: Ismail Seiph Mbonde Asshaafiy .
════════━
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️Toleo la kwanza : Swafar/Mfungo tano 26,1439H.Sawa na tar.15/11/2017M ,toleo jipya: Muharram/Mfungo nne 21, 1443H ≈ August 30, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *