TUJIKUMBUSHE KATIKA KUWAFAHAMU MASHIA (12)

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net

الرافضة يعبدون أئمتهم

MASHIA WANA WAABUDIA MAIMAMU WAO

قال شيخهم المجلسي:-

AMESEMA SHEIKH WAO AL-MAJLISIY:-

” إن أصحابنا الإمامية – وهم الرافضة- أجمعوا على عصمة الأئمة صلوات الله عليهم من الذنوب الصغيرة والكبيرة عمدا وخطأ ونسيانا من وقت ولادتهم إلى أن يلقوا الله”

“Hakika watu wetu wa Imaamiyyah- nao ni Arraafidhwah (Mashia) wameafikiana juu ya (kuwa) Maimam-swala za Allah ziwe juu yao-wamekingwa na makosa (madhambi) makubwa na madogo (hawafanyi dhambi) kwa kukusudia na kwa kukosea na (wala) kwa kusahau toka kipindi cha kuzaliwa kwao mpaka wanapokutana na Mola wao (wanapokufa) “

📚 REJEA:-

بحار الأنوار. ج ٢٥ ص ٣٥٠-٣٥١
[ Bihaaru l-anuwaar,juzu ya 25 ukurasa wa 350-351 ]

MAELEZO YA MWANDISHI:✍🏾

Mashia wanawapa maimamu wao miongoni mwa sifa za Allah mfano: kuwatakasa maimamu wao na kusahau na kughafilika hii ni sifa ya Allah pale aliposema:

{ وَمَا كَانَ رَبُّكَ نَسِيًّا }

{Na Mola wako Mlezi si mwenye kusahau}

سورة مريم ٦٤ .

Na vile vile kauli yake Allah katika majibizano baina ya Musa na Firauni:

ۖ لَّا يَضِلُّ رَبِّي وَلَا يَنسَى

Mola wangu Mlezi hapotei wala hasahau .

سورة طه ٥٢ .

Aya hii pia inajulisha kuwa elimu ya Allah -aliyetukuka- haikutanguliwa na kutokujua /ujinga na vile vile hasahau , lakini Mashiawamewapa Maimamu wao si hii na nyinginezo ambazo ni za Allah ! hawakosei!hawasahau! … tena jambo hili ni katika itikadi ambazo maulamaa wa kishia wamekubaliana yaani ni ij’maa’i!

━════════ ۞
Mwandishi: Ismail Seiph Mbonde Asshafiiy .
════════━
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Toleo la kwanza: November 20,2017M ,toleo la pili: Muharram /Mfungo nne 21, 1443H ≈ Aug 31, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *