Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
من أكذوبة الرافضة على النبي -صلى الله عليه وسلم:-
MIONGONI MWA UWONGO WA MASHIA JUU YA MTUME -SWALA NA SALAMU ZIMWENDEE-
ذكر الكاشاني الرافضي:-
AMETAJA AL- KAASHAANIY MSHIA:-
عن النبي – صلى الله عليه وسلم- أنه قال :-
KUTOKA KWA MTUME (SWALA NA SALAMU ZIMWENDEE) KWAMBA AMESEMA:-
و من خرج من الدنيا ولم يتمتع جاء يوم القيامة وهو أجدع
“NA MWENYE KUTOKA DUNIANI (ALIYEFARIKI) NA HAKUFANYA (NDOA YA) MUTA’A ATAKUJA SIKU YA KIAMA HALI YAKUWA PUA YAKE IMEKATWA KATWA”
📚 REJEA:- ⇊
تفسير منهج الصادقين ص ٣٥٦ مصنفه ملا فتح الله كاشاني
[ Tafsir Manhaji Sswaadiqiin ukurasa wa 356 mtunzi wake no Mullah Fat’hullah Kaashaaniy ]
MAELEZO YA MWANDISHI:-✍🏾
Je mumeona uovu wa watu hawa yaani hawaogopi wala hawaoni haya kumbandika uwongo Mtume (swala na salamu za Allah ziwe juu yake) na hii muta’a wanayoidai wao wenyewe ukimfuata mmoja wao ukamwambia Niozeshe binti yako kwa muda wa wiki mbili! hatoweza kukubali kisha wanaitangaza na kuitetea tena hata kwa kumuongopea Mtume!!
Muta’a ni ndoa wanayoidai Mashia nayo ni ya mtu anaweza akamuoa mwanamke kwa muda wa wiki moja kisha akamuacha !kwa maana ndoa ya mkataba !
━════════ ۞
Mwandishi: Ismail Seiph Mbonde Asshaafiy .
════════━
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Tolea la kwanza:November 20,2017M ,toleo la pili: Muharram 26, 1443H ≈ September 4, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•