Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
اضحك قليلا مع أكذوبة الرافصة!
CHEKA KIDOGO NA UONGO WA MASHIA!
قال -صلى الله عليه وسلم:-
AMESEMA -SWALA NA SALAMU ZIWE JUU YAKE-:-
”من تمتع من امرأة مؤمنة فكأنه زار الكعبة سبعين مرة .“
“YEYOTE MWENYE KUMUOA MUTA’A MWANAMKE MUUMIN BASI (MALIPO YAKE) NI KAMA YULE ALIYEZURU AL -KA’ABAH MARA SABINI”
📚 REJEA:-
عجالة حسنة ترجمة رسالة المتعة للعلامة محمد الباقر المجلسي ص ١٦
[ ‘Ujaalatun hasanah tarjama ya ujumbe Muta’a cha mwanachuoni mkubwa (wa kishia) Al-majlisiy,ukurasa:16 ]
MAELEZO YA MTARJUMU -ALLAH AMUHIFADHI-
Yaani ukamfuata mwanamke wa kiislamu aliyejihifadhi na ukakubaliana naye kuwa nitakuoa kwa muda wa wiki mbili au mwezi..
Basi malipo na dhawabu za uzinifu huu ni ! sawa na kuzuru Al-kaabah Mara sabini!
Ni uovu ulioje wa mijitu hii ambayo haina hofu ya kuzibuni hadithi na kuziegemeza kwa Mtume (swala na salamu za Allah ziwe juu yake) hivi kweli wapo tayari yafanywe haya kwa mabinti zao ? kwa kifupi hii si ndoa bali ni uzinifu
━════════ ۞
Muandishi: Ismail Seiph Mbonde Asshaafiy .
════════━
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Toleo la kwanza: November 21,2017M ,toleo la pili: Muharram 27, 1443H ≈ September 5, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•