Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
TUJIKUMBUSHE KATIKA KUWAFAHAMU MASHIA .
Makala namba (2):
هل عوام الشيعة يعلمون هذا؟
JE, MASHIA WA KAWAIDA WANALIJUA HILI?
جاء في أصح كتب الشيعة, وهو الكافي للكليني.
(MANENO) YAMEKUJA KUTOKA KATIKA KITABU SAHIHI ZAIDI KWA MASHIA, NACHO NI AL- KAAFII CHA AL- KULAINIY.
من هذه الأبواب:
KATIKA MILANGO HII (ILIYOPO HUMO)
-باب: أن الأئمة عليهم السلام يعلمون متى يموتون, وأنهم لا يموتون إلا باختيار
منهم (258/1).
(HUU) MLANGO (UNAOZUNGUMZIA) : KUWA MAIMAMU (AMANI IWE JUU YAO) WANAJUA (KUWA) WATAKUFA LINI, NA KWAMBA WAO HAWAFI ISIPOKUWA KWA HIARI YAO (1/258).
✍🏾 MAELEZO YA MWANDISHI:
Hivi wale mashia wa kawaida wanayajua haya yaliyomo katika vitabu vyao vikubwa au wanadanganywa na kilo za sukari na robo ya unga?!
mimi nadhani hawajui na lau wangejua basi wangeikimbia dini hii ya kishia!!.
Kwa mujibu wa maneno haya ni kuwa maimamu wao mashia wanajua elimu ya ghaibu (iliyojificha) ambayo hakuna anayeijua isipokuwa Allah inamaana wamewapa maimamu wao sifa miongoni mwa sifa za Allah!
Ndio maana tunasema kuwa Mashia hawawapendi Ahlu l-baiti kama wanavyodai Bali wanawaabudia Ahlu l-bait ! du ! Yaani Hawa maimamu wanajua elimu ambayo ni siri ya Allah ! mfano wanajua kuwa mwaka huu watazaliwa watoto wangapi ulimwenguni,
Na wakiume ni wangapi na wakike ni wangapi tena laajabu zaidi wanajua hata siku ya kufa kwao hao maimamu na tena hawafi isipokuwa kwa hiyari zao, upotevu ulioje wa mashia na kughurika kulioje kwa baadhi ya waislamu wasiojitambua!!
━════════ ۞ ════════
Mwandishi: Ismail Seiph Mbonde
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Toleo la kwanza:Mfungo tano17,1439 H sawa na tar.6/11/2017M , toleo la pili Mfungo tatu 27, 1442H ≈ August 6, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•
Tatizo waislamu wote tungekuwa tunafata sunna ingekuwa vizuri