TUJIKUMBUSHE KATIKA KUWAFAHAMU MASHIA (NO.3)

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net

TUJIKUMBUSHE KATIKA KUWAFAHAMU MASHIA.

Makala namba : (3)

​مشابهة الرافضة لليهود في اعتقادهم​.

KUFANANA KWA MASHIA NA MAYAHUDI KATIKA ITIKADI ZAO:-

​طعنهم في آدم- عليهم السلام-:​

(MASHIA) KUMTUKANA KWAO ADAMU -AMANI IWE JUU YAKE-

قالوا أنه نظر بعيني الحسد للنبي (صلى الله عليه وسلم) وعلي وفاطمة والحسن والحسين فطرد من الجنة .

“WAMESEMA (MASHIA) KUWA: YEYE ADAMU ALIMTIZAMA KWA JICHO LA HUSUDA NABII MUHAMMAD -SWALA NA SALAMU ZIMWENDEE- NA ALLIY NA FATMA NA AL-HASSAN NA AL-HUSSEIN BASI AKAFUKUZWA PEPONI KWA SABABU HIYO”

📚 REJEA:- ⇊

​معاني الأخبار ص ٤٢، للصدوق​

​[ Maan l-akhbaar,ukurasa wa 42 , cha Asswaduuq​ ]

(MAYAHUDI) KUMTUKANA KWAO NABII NUHU -AMANI IWE JUU YAKE-

طعن اليهود في نبي الله نوح – عليه السلام- بشرب الخمر والتعري أمام أولاده.

MATUSI YA MAYAHUDI KWA NABII NUHU -AMANI IWE JUU YAKE- KUWA: YEYE ALIKUNYWA POMBE NA ALIKAA UCHI MBELE YA WANAYE.

📚 REJEA:- ⇊

​انظر سفر التكوين٢١/٩​

[ (Agano la kale kitabu cha) Mwanzo:9/21 ]

✍🏾 ​ MAELEZO YA MWANDISHI:-​

​Na hapa utaona wazi kuwa USHIA ni UYAHUDI uliojivisha vazi la uislamu kwani itikadi ya kuwatukana na kuwakejeli mitume ni itikadi ya kiyahudi!

mfano wa hili ni kauli ya mashia kuwa nabii Adamu -Amani iwe juu yake- alimuhusudu mtume -swala na salamu za Allah ziwe juu yake- na Aliy na Fatumah na Al-hasan na Al-husain -Allah awaridhie- na hii ni kawaida ya Mayahudi kama tulivyoona hapo juu wakimtukana Nabii nuhu -amani iwe juu yake-

━════════ ۞

Mwandishi: Ismail Seiph Mbonde Assha’afiy .

════════━
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Toleo la kwanza:Swafar 18,1439H-sawa na tar.7/11/2017 M ,toleo la pili : Mfungo tatu 28, 1442H ≈ August 7, 2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *