Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net
أين نحن من أخلاق السلف مع أمهاتهم
TUPO WAPI SISI KUTOKANA NA TABIA ZA WEMA WALIO PITA NA MAMA ZAO
كان حجر بن الأبتر، يلمس فراش أمه بيده، ويتقلب بظهره عليه ليتأكد من لينه وراحته ثم يضجعها عليه.
Alikuwa Hujr bin Al-adbar akiligusa godoro la mama yake kwa mkono wake na hujigaragaza juu yake ili apate uhakika wa ulaini wake na raha yake kisha baada ya hapo humlaza ( mama yake ) juu yake.
📚 MAREJEO: ⇣
البر والصلة لابن الجوزي (١/٨٩ )
[ Al-birru wa sswilah cha ibn Al-jauziy, 1/89 ]
MAELEZO YA MFASIRI :*⇣⇣🎙
Yaani alikuwa akihakikisha kitanda anacholala mama yake je ni laini kiasi ambacho akilala atapata raha mama yake ? na kwa kuhakikisha hili hujaribu kulala mwenyewe na kujigaragaza kwa mgongo wake juu yake ili kama kuna kitu chenye madhara basi kimdhuru yeye kwanza!.
اللهم اغفر لنا ولوالدينا وارحمهم كما ربونا صغارا.
Ewe Allah tusamehe sisi na wazazi wetu na uwarehemu kama walivyotulea hali tu watoto .
Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: August ,20,2017 M, ikahakikiwa na kurushwa tena ,Shawwal 4, 1442H ≈ May 16, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•