TUPO WAPI SISI KUTOKANA NA TABIA ZA WEMA WALIO PITA NA MAMA ZAO

كان حجر بن الأبتر، يلمس فراش أمه بيده، ويتقلب بظهره عليه ليتأكد من لينه وراحته ثم يضجعها عليه

Alikuwa Hujr bin Al-adbar akiligusa godoro la mama yake kwa mkono wake na hujigaragaza juu yake ili apate uhakika wa ulaini wake na raha yake kisha baada ya hapo humlaza ( mama yake ) juu yake.

​ البر والصلة لابن الجوزي (89/1 )
[ Al-birru wa sswilah cha ibn Al-jauziy, 1/89 ]

MAELEZO : Yaani alikuwa akihakikisha kitanda anacholala mama yake je ni laini kiasi ambacho akilala atapata raha mama yake ? na kwa kuhakikisha hili hujaribu kulala mwenyewe na kujigaragaza kwa mgongo wake juu yake!

اللهم اغفر لنا ولوالدينا وارحمهم كما ربونا صغارا

Mfasiri:fawaidusalafiya.net

MAANA SAHIHI YA USHUJAA .

كتب الشيخ صالح العصيمي -حفظه الله تعالى- عبر حسابه على تويتر . Ameandika sheikh Swaleh Al-Uswaim -Allah amuhifadhi- kupitia ukurasa wake wa twitter (maneno yafuatayo) : من الخطأ في حقيقة

Soma zaidi »

HII NDIYO DUNIA !

🎙️قال العلامة ابن الجوزي رحمه الله تعالى-: Amesema mwanawachuoni mkubwa ibn l-Jauziy -Allah aliyetukuka amrahamu-: ✍️ “واعلم أن الزمان لا يثبت على حال، قال عز وجل: Tambua kuwa zama hazithibiti

Soma zaidi »

MOYO NI KAMA CHOMBO!

قال ابن القيم – رحمه الله- : Amesema ibn l-Qayyim- Allah amrahamu -: فالخبيث يتفجر من قلبه الخبث على لسانه وجوارحه Basi mtu mbaya hububujika kutoka moyoni mwake mabaya (yanayodhihiri)

Soma zaidi »

NASAHA KWA MUME

الزوجة لا تستغني عن التدليل بتقدم عمرها ،أو بإنجابها طفل أو أكثر، Mke hatosheki na kudekezwa kwa kuongezeka umri wake au kwa kuzaa kwake mtoto (mmoja) au zaidi ya mmoja

Soma zaidi »

NEEMA YA AMANI

رَوَى سَلَمَةُ بْنُ عُبَيْدِ اللهِ بْنِ مِحْصَنٍ الخَطْمِيِّ ، عَنْ أَبِيهِ – Amepokea Salamah bin Ubaid -Llah bin Mihswan Al-khatmiy kutoka kwa baba yake – وَكَانَتْ لَهُ صُحْبَةٌ – na

Soma zaidi »

2 Comments

  1. Abuu ibrahiim

    Assalam a’laykum warahmatullah.
    Ikhwaah Allah akulipeni kheri kwa juhudi zenu.
    Lakin katika kuambatanisha u tube video, tunakutana na video zingine nje na maada baada ya video husika kuisha. Kama kuna udhibiti wa hili itafaa zaidi . واللّه المستعن

    • Walaykum salaam warahmatullah wa barakatuh. In shaa Allah wacha tuone namna ya kudhihibiti hilo. Barakallahu fiyka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *