Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net
الأضحية بالجاموس
UDH’HIYAH YA NYATI (MBOGO) .
سئل العلامة العباد- حفظه الله- :
Aliulizwa mwanachuoni mkubwa Al-‘abbaad- Allah amuhifadhi-:
اماحكم الأضحية بالجاموس؟
Ni ipi hukumu ya (kuchinja) udh’hiyah nyati ?
الجواب:
Jawabu:
الجاموس من البقر.
Nyati ni katika ng’ombe .
شرح سنن الترمذي شريط (١٧٢)
Maelezo ya mfasiri:
Kwa hiyo inafaa watu saba mukashirikiana kwa kuchinja udh’hiyah ya nyati (mbogo) ,kwa sababu nyati anaambatanishwa na ng’ombe , kwa maana ni ng’ombe pori , na sasa hivi kuna taaluma ya kupandisha mbegu ya nyati kwa ng’ombe wa kufugwa kisha anapatikana mnyama mwenye umbile la ng’ombe lakini linalofanana na nyati ,bila shaka huyu naye anapewa hukumu ya ng’ombe .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Dhul-,hijjah 4, 1442H ≈ Jul 14, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•