Ujumbe kwa kila mwenye kutupa takataka kupitia madirisha ya gari lake au njiani .

๐ŸŽ™ ูŠู‚ูˆู„ ุงู„ุนู„ุงู…ุฉ ุงุจู† ุนุซูŠู…ูŠู†- ุฑุญู…ู‡ ุงู„ู„ู‡-:

ANASEMA MWANACHUONI MKUBWA IBN ‘UTHAIMIN – ALLAH AMRAHAMU-:

“ูˆุฅุฐุง ูƒุงู†ุช ุฅู…ุงุทุฉ ุงู„ุฃุฐู‰ ุนู† ุงู„ุทุฑูŠู‚ ุตุฏู‚ุฉ.”

โ€œNA IKIWA KUONDOA UDHIA (UCHAFU,TAKA) NJIANI NI SADAKAโ€โ€‹

“ูุฅู† ุฅู„ู‚ุงุก ุงู„ุฃุฐู‰ ููŠ ุงู„ุทุฑูŠู‚ ุณูŠุฆุฉ!!!

โ€œBASI BILA SHAKA KUTUPIA UDHIA (UCHAFU,TAKA) NJIANI NI UOVUโ€โ€‹

ูˆู…ู† ุฐู„ูƒ ู…ู† ูŠู„ู‚ูˆู† ู‚ู…ุงู…ุชู‡ู… ููŠ ูˆุณุท ุงู„ุดุงุฑุนุŒ

NA KATIKA (MAKOSA) HAYO NI WALE WANAOTUPIA TAKATAKA ZAO BARABARANI

ุฃูˆ ูŠุชุฑูƒูˆู† ุงู„ู…ูŠุงู‡ ุชุฌุฑูŠ ููŠ ุงู„ุฃุณูˆุงู‚ ูุชุคุฐูŠ ุงู„ู†ุงุณ.

AU HUYAACHA MAJI YAKITIRIRIKA MASOKONI NA KUWALETEA KERO WATU .

โ€‹๐Ÿ“š REJEA:โ‡Šโ€‹

โ€‹(ุดุฑุญ ุฑูŠุงุถ ุงู„ุตุงู„ุญูŠู† 37/3โ€‹)

NYONGEZA YA MTARJUMU -ALLAH AMHIFADHI- ๐ŸŽ™

โ€‹Huu ndiyo uzuri wa dini hii ya kiislamu dini ya haki dini ambayo haikumwaacha nwanadamu anatangatanga bila ya muongozo katika maisha yake yote na hakuna zuri lolote isipokuwa uislamu umeliamrisha na hakuna baya isipokuwa umelikataza.โ€‹

โ€‹Kuweka mazingira safi ni katika mafundisho ya uislamu na muislamu pindi unaposafisha mazingira weka nia ya ibada weka nia ya kutekeleza mafundisho ya mtume wako, na lau waislamu tungetekeleza mafundisho ya dini yetu kisawasawa kama hili la kusafisha njia na barabara basi mitaa yote ingekuwa safi!โ€‹

โ€‹uzuri ulioje wa dini hii!! ambayo ina mafundisho yenye kumkinaisha kila mwanadamu mwenye kufikiri akaamini kuwa hii ni dini ya haki ambayo wanadamu wote wanawajibika kuifuata, na hapa sheikh -Allah amrahamu- anaeleza kuwa ikiwa uislamu umeeleza kuwa kuondoa vinavyowakera watu njiani ni sadaka kama alivyosema Mtume -swala na salamu za Allah zimfikie- :

ุฃูŽู…ูุทู ุงู„ุฃุฐู‰ ุนู† ุงู„ุทุฑูŠู‚ู ุŒ ูุฅู†ู‡ ู„ูƒ ุตุฏู‚ุฉูŒยป

โ€œOndoa udhia njiani kwasababu huko (kuondoa udhia) kwako ni sadaka โ€

ุตุญูŠุญ ุงู„ุฌุงู…ุน .

Basi kwa hii hadithi tunafahamu kuwa kutupia chochote chenye kuwakera watu njiani ni uovu kama alivyosema sheikh , na pia kuna matendo ambayo hukumu yake ni kama hukumu ya kutupia takataka njiani kama alivyotaja sheikh ni kile kitendo cha kufungulia maji machafu yakawa yanatiririka masokoni au barabarani na tena kuna wale wanaofungulia maji ambayo yanavinyeshi ndani yake ambayo yanaweza kunajisisha mavazi ya waislamu wapitao njia na hili hufanywa katika siku za mvua katika baadhi ya maeneo, na hata kama hayo maji yakiwa masafi itabakia kuwa kufanya hivyo ni kuwakera wapita njia .

Tunamshukuru Allah kwa neema ya uislamu na sunnah .

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: โ˜Ÿ
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: โ˜Ÿ
https://t.me/fawaidussalafiyatz

๐Ÿ—“๏ธ Imeandaliwa : Mfungo mosi 22 , 1445H =May 1, 2024M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
    โ€ขโ”ˆโ”ˆโ”ˆโ”ˆโ€ขโœฟโโœฟโ€ขโ”ˆโ”ˆโ”ˆโ”ˆโ€ข

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *