UKIWA HIVI BASI USIJIHANGAISHE !

قال الإمام ابن القيم – رحمه الله:

Amesema ibn l-Qayyim -Allah amrahamu-:

” إذا لم تخلص فلا تتعب “

“ Kama haukufanya matendo yako mema kwa ajili ya Allah ,basi usipate tabu ” .

📚 بدائع الفوائد 3 / 230

Maelezo ya mfasiri:

Ikhlaswi yaani kufanya matendo mema kwa ajili ya kutafuta radhi za Allah -aliyetukuka-ndiyo msingi wa kufaulu ama yule mwenye kufanya mema kwa ajili ya kutafuta chochote katika dunia basi mtu huyo asijihangaishe kufanya mema kwa sababu hayo mema anayoyafanya ni kama mavumbi kwa maana hakuna kitu mbele ya Allah !

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Mfungo tisa 27, 1445H ≈ Jan 9, 2023M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz

       •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *