Kauli inayotegemewa
katika madhehebu yetu ya kishafi ni kuwa pindi mwezi unapoonekana sehemu fulani basi ni wajibu kufunga au kufungua watu wote ambao mawio yao na machweo yao yanafanana na mji ulioonekana mwezi, kama vile Tanzania, Kenya, Uganda,n.k ,na hii ndiyo kauli inayotegemewa ktk madhehebu yetu ya kishafi
Lakini mwaka huu nasikia mpaka Mtwara wameuona yaani hapa hapa Tanzania kwa hiyo utajua kuwa hili linalofanyika hapa kwetu si ushafii sijui ni kitu gani mimi sifahamu ?!
Ameandika : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Mfungo Mosi 1, 1443H ≈ May 2, 2022M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•