Usipoteze fursa hii leo haswa wakati huu wa jioni !

كتب الشيخ صالح العصيمي -حفظه الله تعالى- عبر حسابه على تويتر .

Ameandika sheikh Swaleh Al-Uswaim -Allah amuhifadhi- kupitia ukurasa wake wa twitter (maneno yafuatayo) :

أصبحنا على يوم عرفةَ، وفيه تُرجى إجابة دعاء الدَّاعين،

Tumeingia siku ya Arafah na ndani yake kunatarajiwa kujibiwa dua za waombaji,

وخاصَّةً الصَّائمين، فادعوا الله لأنفسكم ووالديكم وأهليكم، وغيرهم ممَّن له حقٌّ خاصٌّ أو عامٌّ؛

Na haswa kwa (wale) wafungaji basi muombeni Allah kwa ajili ya nafsi zenu na wazazi wenu na jamaa zenu na wengineo wasiokuwa hao katika wale ambao wana haki maalumu au za ujumla kwenu

كمشايخكم وأصحابكم وجيرانكم وولاة أمركم وسائر المسلمين والمسلمات.

Kama vile mashekhe zenu na marafiki zenu na majirani zenu na watawala wenu na waislamu wote wakiume na wakike .

السبت ٩ ذو الحجة ١٤٤٥ه‍

Maelezo ya mfasiri:

Leo ni siku adhimu mno ni suna kukithirisha kuomba dua tujiombee sisi wenyewe na hao aliowataja shekhe katika ndugu zetu waislamu ,na tukithirishe kumtaja Allah na kusoma quran kama alivyosema imam Nawawiy -Allah amrahamu na tunatakiwa tujiepushe na kuzembea ndani ya siku hii kwa sababu ukiikosa basi umeikosa hautoweza kuifidia tujitahidi kuomba dua kwa unyenyekevu na kwa kunong’ona na kuleta toba na haswa wakati wa jioni na kama utaweza kujitenga baada ya alasiri mpaka kuzama kwa jua basi ni bora kwako .

Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Imeandaliwa: Mfungo tatu 9, 1445H ≈ Jun /15, 2024M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz

         •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *