WENGI HATULIJUI HILI !

https://t.me/fawaidussalafiyatz

Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiyatz.net

WENGI HATULIJUI HILI!

قَالَ العَلّامَـة ابْـنُ عُثَيْـمِينْ – رَحِـمَهُ الله –

Amesema mwanachuoni mkubwa ibn ‘Uthaimin – Allah amrahamu –

والعمل الصالح متنوع:

Na matendo mema yapo aina mbalimbali:

قرآن، ذكر، تسبيح، تحميد، تكبير، أمر بالمعروف، نهي عن منكر، صلاة، صدقات، بر الوالدين، صلة للأرحام، والأعمال الصالحة لا تحصى،

Kusoma Qur’ani, nyiradi, (kama vile kusema) Sub’haanallah, Al-hamdullilah ,Allahu akbar, kuamrisha mema, kukataza mabaya, kuswali, kutoa sadaka, kuwafanyia wema wazazi wawili, kuunga udugu na matendo mema (ni mengi) hayadhibitiki,

إذا تصدقت بدرهم في هذه العشر, وتصدقت بدرهم في عشر رمضان,

pindi utakapotoa sadaka ya dirham moja katika haya (masiku) kumi, na ukatoa sadaka ya dirham moja katika (masiku) kumi ya mwisho ya Ramadhani,

فأيهما احب إلى الله؟

Ni (sadaka) ipi katika hizo mbili inapendeza zaidi kwa Allah?

الصدقة في عشر ذي الحجة أحب إلى الله من الصدقة في عشر رمضان.

(Jawabu) : Sadaka katika (masiku) kumi ya Mfungo tatu inapendeza zaidi kwa Allah kuliko sadaka katika masiku kumi (ya mwisho) ya Ramadhani.

📚 اللقاء الشهري (١٠/٢)

Maelezo ya mfasiri:

Sadaka inayotolewa katika masiku kumi ya mwanzo ya mwezi wa Mfungo tatu ni bora zaidi kuliko ile inayotolewa katika masiku kumi ya mwisho ya mwezi wa Ramadhani na kila ibada inayofanywa katika masiku haya ubora wake ni huu ,na hilo ni kwa sababu Mtume – swala na salamu za Allah zimfikie – amesema:

” ما من أيام العمل الصالح فيها أفضل من أيام العشر “

” Hakuna katika masiku matendo mema ndani yake ni bora zaidi kuliko (katika haya) masiku kumi “

صحيح الترغيب رقم (١١٤٩)

Yaani masiku kumi ya mwanzo ya mwezi wa Dhul-Hijjah (Mfungo tatu)

Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz

🗓️ Iliandaliwa: 3/Dhul-Hijjah/1441H=24/July/2020M, ikarushwa tena Dhul-Hijjah 1, 1442H=11,Jul,2021M.

Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.

Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz

https://t.me/fawaidussalafiyatz
     •┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *