Makala namba (2):
الاستمناء في رمضان.
☞ Kupiga punyeto (masturbation) katika (mchana wa) Ramadhani
السؤال:
Swali: 📂
من استمناء نهار رمضان فهل عليه كفارة مع القضاء ؟
Mwenye kupiga punyeto mchana wa Ramadhani je, anawajibika kutoa kafara pamoja na kulipa ?
الجواب:
Jawabu: 📚
سمعتم الجواب،
Jawabu mmelisikia,
هذا حرام يجب عليه التوبة،
(Tendo) hili ni haramu na inamuwajibikia kutubu,
ويجب عليه القضاء،
Na inamuwajibikia kuilipa (siku hiyo),
وليس عليه كفارة،
Na hakuna kafara juu yake,
لأن هذا ليس جماعا وإنما شهوة فقط.
Kwa sababu hili si tendo la ndoa na hakika si vinginevyo ni shahwa (matamanio) tu.
📥 المصدر:
Chanzo: (link ya kupata fatwa ya Sheikh hii hapa): 👇🏽
Maelezo ya mfasiri:
Aliyeiharibu funga yake kwa kujitoa manii ima kwa mkono au kwa kumkumbatia mkewe au kumbusu ,Kwanza : Funga yake imeharibika na anawajibika kujizuia siku hiyo mpaka jioni na anawajibika kuilipa siku hiyo baada ya kuisha Ramadhani lakini hatotoa kafara ya mtu aliyeingilia mchana wa Ramadhani kwa sababu yeye hajaingilia.
Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Shabani 13, 1443H ≈ Mar 16, 2022M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•