YANAYOHUSIANA NA FUNGA YA RAMADHANI (NO. 3)
الأعمال الخيرية في رمضان.
☞ Matendo ya heri katika (mwezi wa) Ramadhani
السؤال:
Swali: 📂
ما هي الأعمال الخيرية المرغوب فيها في شهر رمضان المبارك ؟
Ni yapi matendo ya heri yaliyopendezeshwa (kufanywa) katika mwezi wa Ramadhani wenye baraka ?
الجواب:
Jawabu: 📚
الأعمال الخيرية المرغوب فيها في رمضان كثيرة،
Matendo ya heri yaliyopendezeshwa (kufanywa) katika mwezi wa Ramadhani ni mengi,
أهمها:
Ya umuhimu zaidi (ni):
المحافظة على أداء ما فرضه الله في رمضان وغيره من الصلاة والصيام،
Kuhifadhi juu ya kutekeleza yale aliyoyawajibisha Allah katika (mwezi wa) Ramadhani na (masiku) mengine yasiyokuwa huo (mwezi wa Ramadhani),
ثم الإكثار بعد ذلك من النوافل،
Kisha kukithirisha sunnah baada ya hilo (la faradhi),
من تلاوة القرآن،
Kama kusoma Qur’ani,
وصلاة التراويح،
Na (kuswali) swala ya tarawehe,
والتهجد،
Na kisimamo cha usiku,
والصدقة،
Na (kutoa) sadaka,
والاعتكاف،
Na (kukaa) itikafu,
والإكثار من الذكر،
Na kukithirisha kumtaja Allah,
والتسبيح والتهليل والتبكير،
Na (kuleta) tasbih na tahliil na takbiir,
والجلوس في المساجد للعبادة فيها،
Na kuketi misikitini kwa ajili ya kufanya ibada ndani yake,
وحفظ الصوم عما يبطله أو يخل به من الأقوال والأعمال المحرمة والمكروهة.
Na kuihifadhi funga kwa kuiepusha na yale yanayoibatilisha au kuiharibu katika maneno na kauli zilizoharamishwa na zinazochukiza.
📥 المصدر:
Chanzo: (link ya kupata fatwa ya Sheikh hii hapa): 👇🏽
Mfasiri : Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde Asshafiy .
Muandaaji: fawaidusalafiyatz.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiyatz.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imeandaliwa: Shabani 15, 1443H ≈ Mar 18, 2022M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•