أول ما نبدأ بفعله يوم العيد،
☞ La mwanzo (tunalotakiwa) tulianze kulifanya (katika) siku ya Eid
عن وكيع قال:
Kutoka kwa Waki’i amesema:
خرجنا مع سفيان الثوري في يوم عيد فقال:
Tulitoka pamoja na Sufyaan Atthauriy siku ya Eid basi akasema:
إن أول ما نبدأ به في يومنا غض ابصارنا.
Bila shaka la mwanzo tutakaloanza nalo leo (anakusudia siku ya eid) ni kuinamisha macho yetu (Kutoangalia haramu).
📚المصدر: الورع لابن أبي الدنيا(/66)
[ Chimbuko: Al-war’a cha Ibn Abii Ddunilyaa (66) ]
Maelezo kutoka kwa mfasiri – Allah amuhifadhi
Jamani tunapo enda katika miswala ya eid la kwanza tuinamishe macho yetu, tujiepushe na haramu si kila apitaye wa mtupia macho!
Kama wataka kuangalia wanawake, kamwangalie mke wako nyumbani, na kama wewe ni barobaro fanya hima uoe.
Ameandaa: Abuu Thurayyaa Ismail Seiph Mbonde – Allah amuhifadhi
Dar es salaam, Tanzania
Kiunganishi: https://t.me/fawaidussalafiyatz
Jiunge nasi upate faida mbalimbali.
| Jivunie ujira wa kusambaza faida hizi, sambaza kama ulivyopokea bila kubadilisha chochote |
Kupata faida nyingi jiunge na channel yetu ya Telegram kwa Link hii: ⇩
Pia jiunge nasi katika Instagram, Twitter, facebook na you tube:
@fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈••✦✿✦••┈┈┈┈•