Website ingia hapa: https://www.fawaidusalafiya.net
من مات على العقيدة السلفية فقد فاز
YEYOTE ALIYEKUFA JUU YA ITIKADI YA WEMA WALIOPITA BILA SHAKA AMEFAULU!
🎙 قال معتمر بن سليمان- رحمه الله-:
Amesema Mu’utamir bin Sulaiman – Allah Amrahamu- :
” دخلت على أبي وأنا منكسر , فقال: ” مالك؟
قلت: ” مات صديق لي, قال : ” مات على السنة ؟ قلت: ” تعم” قال : لا تخف عليه
“Niliingia kwa baba yangu hali ya kuwa mimi ni mwenye kupatwa na pigo la moyo .
Akasema: ” una nini?
Nikajibu : Rafiki yangu amekufa.
(baba) akaniuliza (tena) : (Je) amekufa katika sunna ?
Nikajibu : ndio
Akasema : (basi) usiwe na hofu juu yake.
📚 REJEA: ⇃⇂
( اللا لكائي : 1/67/61
( Allaalakaaiyy : 1/67/61) .
NYONGEZA: 🎙
قال مترجمه- عفا الله عنه وغفر له:
Makusudio ya sunna hapa ni itikadi sahihi yaani itikadi ya wema waliopita,maswahaba na waliowafuta hao kama maimamu wanne na wengineo, bila shaka yule aliyekufa na itikadi sahihi amekufa vizuri , na wala makusudio ya suna hapa haikusudiwa sunna kwa mujibu wa watu wa fiqh.
Muandaaji: fawaidusalafiya.net
Tembelea website yetu: ☟
https://www.fawaidusalafiya.net
Telegram bonyeza hapa: ☟
https://t.me/fawaidussalafiyatz
🗓️ Imehakikiwa na kurushwa tena : Shawwal 4, 1442H ≈ May 15, 2021M.
Muhimu: Vuna thawabu kwa kusambaza faida hizi. Sambaza kama ilivyo, si ruhusa kubadilisha chochote. Tuwe waadilifu.
Jiunge na chennel yetu ya telegram upate faida nyingi, kujiunga bonyeza link hii: 👇🏾
https://t.me/fawaidussalafiyatz
•┈┈┈┈•✿❁✿•┈┈┈┈•